Monday, April 2, 2012

AWAMU MPYA YA UJENZI WA KANISA KWA 2012 YAANZA

Mkuu wa Majengo wa kanisa la Shamsi, Mzee Festo Mchome ametangaza katika Sabato ya tarehe 24/03/2012  mpango kabambe wa kuchangisha fedha za kuendeleza kazi ya Mungu ya kumjengea kanisa utakagharimu kiasi cha Shs. zisizopongua milioni hamsini (Shs. 50,000,000/-) za kitanzania.

Mimi, wewe na yule tunaombwa kwa unyenyekevu kumtolea Mungu sehemu ya kile alichotubariki kwacho ili sehemu ya kile tutachotoa kikawe hazina ya pale Atapotuandalia mioyo yetu......

Kuuona mchanganuo huo wa mahitaji halisi bofya hapa chini kwa HABARI ZAIDI


MCHANGANUO WA GHARAMA ZA UJENZI WA KANISA-TShs 62,635,000

AWAMU YA KWANZA 2012

s/n
VIFAA
KIASI
TShs.
1.
Saruji mifuko
 200 @ 15,500
 3,100,000
2.
Nondo
(mm 16) pes 100 @ 32,500
 3,250,000
3.
Nondo
(mm 12)pes 300 @20,000..............................
 6,000,000
4.
Nondo
(mm 10) pes 80 @15500.................................
 1,240,000
5.
Binding Wire
 KL 100 @ 3,500.................................
 350,000
6.
Mehanga Trip Kubwa
 3 @ 280,000.................................
 840,000
7.
Kokoto Trip Kubwa
 3 @ 475000................................
 1,4060,000
8.
Mbao
 (1*6) pes 290 @ 14000
 4,060,000
9.
Mbao
 (2*4) pes 150 @ 9000
 1,350,000
10.
Milunda
 pes 300 @ 4000
 1,200,000
I1.
Matofali Blocks
 pes 1500 @ 1500
 2,250,000
12.
Misumari ya Bati
 KL 65 @ 4000.....................................
260,000
13.
Mafundi wa kujenga
 (Shatarting & Fundi washi, Seremala, Chuma, Fundi zege)
 9,000,000
14.
Gharama za Engeneer & Wakaguzi wa Majengo
............................
3,000,000
15.
Kuweka uzio eneo la ujenzi
....................................................
700,000
16.
Misumari ya kawaida
 KL 150 @ 2500.....................................
 375,000
17.
Usafirishaji wa vifaa namawasiliano

500,000
18.
Ununuzi wa kiwanja eha Kanisa Kisongo

 10,000,000
19.
Tahadhari / Dharura

1,100,000


Jumla kuu
62,635,000

Jumla kuu ya makisio Shs. 62,635,000

No comments:

Post a Comment