Tuesday, June 21, 2011

CONSTRUCTION OF BEAMS WORKS BEGAN


**GHARAMA ZA AWAMU ILIYOKO MBELE YETU KWA SASA NI Shs. 48, 550, 000/=** MCHANGANUO WAKE BONYEZA HAPA**

KAZI YA UJENZI WA NGUZO YAANZA
Wiki inayooshia tarehe 26/06/2011 matoleo ya watu wa Mungu yamewezesha kumwaga zege katika beams kama inavyoonekana hapa chini:


Kabla ya zege kumiminwa katika bimu kazi ya kusuka nondo ilikamilika wiki iliyooshia tarehe 18/06/2011 kama inavoonekana katika picha hapa chini:
Watu wa Mungu....Mbarikiwe saana mnapoendelea kujitoa kwa hali na mali kumjengea BWANA hekalu takatifu...wiki inayoishia tarehe 18/06/2011 Mungu amewezesha kupitia matoleo yako kazi uionayo hapo juu...Mungu akubariki anapopanga kuendelea kutoa kwa ajili ya kuwezesha usukwaji zaidi wa nondo hizo juma hili....kwa picha na habari zaidi bofya hapa chini....

Tuesday, June 7, 2011

**GHARAMA ZA AWAMU ILIYOKO MBELE YETU KWA SASA NI Shs. 48, 550, 000/=**


Kwa sasa kazi ya awamu iliyoko mbele yetu inayoanzia tarehe 12/06/2011 itagharimu takribani TShs. 48,150,000 , kazi iliyokwisha kukamillika ikijumuisha sehemu ya nguvu kazi ya kujitolea ina thamani ya Shs. 55,500,000. Jumla ya gharama zote za mradi mpaka kukamilika ni Shs. 266,378,000. Mchanganuo wa kazi ya awamu hii kwa sasa ya Shs. 48,150,000 ni kama ifuatavyo:







s/n
Material
Gharama (TShs)
1.
Nondo R16 20, 000kgs @ Tshs 1, 600/= per kg
32,000,000
2.
230 bags of cement @ tshs 16, 000
3,220,000

3.
150 kgs Binding wires @ Tshs 3, 000
450,000
4.
1\2” Kokoto 140 tons @ Tshs 42, 857/=(lorries 20)
6,000,000
5.
280 tons Mchanga…(lorries 40 @ Tshs 70, 000/=)
2,800,000
6.
300 Mirunda @ Tshs 5, 000
1,500,000
7.
  60 Kgs Misumari (3”-1 ½”) @ Tshs 3, 000
180,000
8.
400 Mbao rejects) for formwork  (various sizes)
2,000,000
TOTAL
48,150,000




Mchanganuo wa mahitaji yoote ya mradi mzima kwa maana ya BOQ bofya kwenye habari zaidi...