Wednesday, November 6, 2013

UNUNUZI WA KIWANJA CHA NYONGEZA SHAMSI SDA CHURCH

KIWANJA TUNACHOTARAJIA KUKINUNUA HIKI HAPA:


Kama Bwana alivyokubariki, Tunaomba sabato hii uje na mchango wako wa ununuzi wa kiwanja hiki cha kanisa...Mungu akubariki. Walioko mbali tafadhali wasiliana na Mwenyekiti kamati ya ujenzi Mzee Mchome. Simu no. +255 767 993444

No comments:

Post a Comment