Karibu katika tukio la tarehe 4/6/11 ambapo kanisa litafanya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupandisha nguzo hizi unazoziona. Karibu ushiriki mbaraka huu wa kujenga moyo wako unapomjengea Bwana Kanisa.
Ili kuona picha zaidi za ujenzi wa sakafu tafadhali bonyeza hapa>>
Ujenzi wa sakafu/ jamvi ulianza tarehe 24/4/2011 kwa kutandika mawe yaliyotolewa kama sadaka na Mr. Mato wa kanisa la mjini kati pamoja na sadaka za washiriki na wageni wengine wa Shamsi SDA Church.Ili kuona picha zaidi na kwa uzuri, tafadhali bonyeza skrini ya picha hapo chini:
No comments:
Post a Comment