Saturday, November 26, 2011

THE CURRENT NEW LOOK AS AT 19 NOV 2011

THE CURRENT NEW LOOK AS AT 19 NOV 2011


Please make your contribution to move us from here to the next level.......... And you will be so Blessed by the Almight God Our father in Heaven........

PLEASE SEE THE CURRENT DEVELOPMENT IN THE VEDEO CLIP BELOW AS AT 24/11/2011
               

Sunday, November 20, 2011

NEW CHURCH BUILDING DEVELOPMENTS

People of GOD are building the state-of-the-art one storey house of the LORD for worshipping and we are at a stage building first floor, you are kindly invited to share this blessings by contributing anything materials or cash and will give you a feedback on what was the impact of your contribution. MAY GOD BLESS YOU!

Sunday, October 30, 2011

AWAMU MPYA YA UJENZI YAANZA


AWAMU MPYA YA UJENZI YAANZA, UNAOMBWA KUSHIRIKI MBARAKA HUU KWA KUCHANGIA UJENZI NA HAKIKA BWANA ATAKUBARIKIA.

SABATO YA WAGENI YAFANA SANA

PR. MKHENI AKIHUTUBU KATIKA SABATO YA WAGENI YA KANISA LA SHAMSI SDA KATIKA KUNDI LAKE LA KISONGO.


Sunday, September 18, 2011

WATOTO WAKIWA KATIKA DARASA LAO WAKIFUNDISHWA NENO LA MUNGU


WATOTO WA KANISA LA SHAMSI SDA CHURCH WAKIFUATILIA HUBIRI LAO WAKATI WA IBADA SIKU YA SABATO YA TAREHE 17 SEPTEMBER 2011
KANISA LA SHAMSI NI MFANO WA KUIGWA KWA KUWA NA MADARASA YA WATU 8-12 WAKIJIFUNZA NENO LA MUNGU KUPITIA LESSON

VIJANA WA PATHFINDER WA KANISA LA SHAMSI SDA WAHUDUMU KATIKA IBADA KUU SIKU YA SABATO YA TAREHE 17 September 2011 NA KUGUSA ROHO ZA WANA NA BINTI ZA MUNGU KATIKA IBADA HIYO










VIJANA WA PATHFINDER WA KANISA LA SHAMSI SDA WAHUDUMU KATIKA IBADA KUU SIKU YA SABATO YA TAREHE 17 September 2011 NA KUGUSA ROHO ZA WANA NA BINTI ZA MUNGU KATIKA IBADA HIYO

Friday, August 26, 2011

THE GREAT GOSPEL MEETING AT SHAMSI BAPTIZED 71 PEOPLE


The Great gospel meeting ran by SHAMSI SDA church members for three weeks between 07/16/2011 06/08/2011 successfully accomplished by baptizing about 71 spirits who made a firm decision to surrender and buried their old dignity and chosen the new one in JESUS name, let the name of the Lord be blessed.

MCHUNGAJI LAIZER AKIMBATIZA MMOJA WA WALIKATA SHAURI NA KUAMUA KUUZIKA UTU WAO WA KALE NA KUCHAGUA UTU UPYA.
Mkutano Mkubwa wa injili ulioendeshwa na washiriki wa kanisa la SHAMSI kwa takriban wiki tatu (3) kati ya 16/7/2011 na 6/8/2011 wamalizika kwa kuongoa roho 71 zilizokata shauri na kubatizwa, Jina la BWANA litukuzwe.
PART OF THE GOSPEL multitude ran by PASTOR KINANA FOR THREE WEEKS at Shamsi grounds

SEHEMU YA UMATI MKUBWA WA INJILI ULIOENDESHWA NA MCHUNGAJI KINANA KWA  WIKI TATU
picha zaidi

Tuesday, June 21, 2011

CONSTRUCTION OF BEAMS WORKS BEGAN


**GHARAMA ZA AWAMU ILIYOKO MBELE YETU KWA SASA NI Shs. 48, 550, 000/=** MCHANGANUO WAKE BONYEZA HAPA**

KAZI YA UJENZI WA NGUZO YAANZA
Wiki inayooshia tarehe 26/06/2011 matoleo ya watu wa Mungu yamewezesha kumwaga zege katika beams kama inavyoonekana hapa chini:


Kabla ya zege kumiminwa katika bimu kazi ya kusuka nondo ilikamilika wiki iliyooshia tarehe 18/06/2011 kama inavoonekana katika picha hapa chini:
Watu wa Mungu....Mbarikiwe saana mnapoendelea kujitoa kwa hali na mali kumjengea BWANA hekalu takatifu...wiki inayoishia tarehe 18/06/2011 Mungu amewezesha kupitia matoleo yako kazi uionayo hapo juu...Mungu akubariki anapopanga kuendelea kutoa kwa ajili ya kuwezesha usukwaji zaidi wa nondo hizo juma hili....kwa picha na habari zaidi bofya hapa chini....

Tuesday, June 7, 2011

**GHARAMA ZA AWAMU ILIYOKO MBELE YETU KWA SASA NI Shs. 48, 550, 000/=**


Kwa sasa kazi ya awamu iliyoko mbele yetu inayoanzia tarehe 12/06/2011 itagharimu takribani TShs. 48,150,000 , kazi iliyokwisha kukamillika ikijumuisha sehemu ya nguvu kazi ya kujitolea ina thamani ya Shs. 55,500,000. Jumla ya gharama zote za mradi mpaka kukamilika ni Shs. 266,378,000. Mchanganuo wa kazi ya awamu hii kwa sasa ya Shs. 48,150,000 ni kama ifuatavyo:







s/n
Material
Gharama (TShs)
1.
Nondo R16 20, 000kgs @ Tshs 1, 600/= per kg
32,000,000
2.
230 bags of cement @ tshs 16, 000
3,220,000

3.
150 kgs Binding wires @ Tshs 3, 000
450,000
4.
1\2” Kokoto 140 tons @ Tshs 42, 857/=(lorries 20)
6,000,000
5.
280 tons Mchanga…(lorries 40 @ Tshs 70, 000/=)
2,800,000
6.
300 Mirunda @ Tshs 5, 000
1,500,000
7.
  60 Kgs Misumari (3”-1 ½”) @ Tshs 3, 000
180,000
8.
400 Mbao rejects) for formwork  (various sizes)
2,000,000
TOTAL
48,150,000




Mchanganuo wa mahitaji yoote ya mradi mzima kwa maana ya BOQ bofya kwenye habari zaidi...

Tuesday, May 31, 2011

THE OLD CHURCH BEFORE CONSTRUCTION BEGAN/ KANISA KABLA YA UJENZI

This is the Old Shamsi SDA Church before construction began on 14th November 2011. Please choose to be among those who will share a blessing to transform it to the NEW HOUSE OF OUR LORD by contributing either cash of materials. Please click on 'To Contribute' button to access the account no.

Sunday, May 29, 2011

THE RECENT CONSTRUCTION OF THE FLOW/ UJENZI WA SAKAFU


Karibu katika tukio la tarehe 4/6/11 ambapo kanisa litafanya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupandisha nguzo hizi unazoziona. Karibu ushiriki mbaraka huu wa kujenga moyo wako unapomjengea Bwana Kanisa.

Ili kuona picha zaidi za ujenzi wa sakafu tafadhali bonyeza hapa>>

Sunday, January 23, 2011

INAUGURATION DAY/ UZINDUZI WA UJENZI



PASTOR JOHN KIMBUTE AS INAUGURATED THE CONSTRUCTION OF THE NEW CHURCH BY DIGGING THE FOUNDATION on 14th Nov. 2011