Thursday, May 22, 2014

VIJANA WA AC WAKIFANYA MAZOEZI YA NYIMBO



Karibuni shamsi

Vijana Wa AC

video

Vijana hawa wa AC wa kanisa la waadventista wasabato Shamsi katika maandalizi ya Ibada ya siku ya sabato kanisani kwao
watoto wa Ac wa kanisa la waadventista wasabato Shamsi wakati wa mazoezi ya nyimbo kwa ajili ya siku ya Ibada