KARIBU USHIRIKI KAZI HII TAKATIFU.......
Sehemu ya ngazi kupanda ghorofani............
KWA PICHA ZAIDI, BOFYA HAPA CHINI....
Watu wa Mungu wanazidi kujitoa kwa hali na Mali kumjengea BWANA MUNGU WAO nyumba ya Sala yenye hadhi....Unasubiri nini.....mpigie simu Mkuu wa Majengo aandike Jina lako katika Orodha ya walioshiriki kumjengea BWANA hekalu kwa kutoa mchango wako-Simu ya Mzee Mchome ni-0767 993 444...
Sehemu ya ngazi kupanda ghorofani............