AWAMU MPYA YA UJENZI WA KANISA KWA 2012 YAANZA
Mkuu wa Majengo wa kanisa la Shamsi, Mzee Festo Mchome ametangaza katika Sabato ya tarehe 24/03/2012 mpango kabambe wa kuchangisha fedha za kuendeleza kazi ya Mungu ya kumjengea kanisa utakagharimu kiasi cha Shs. zisizopongua milioni hamsini (Shs. 50,000,000/-) za kitanzania.
Mimi, wewe na yule tunaombwa kwa unyenyekevu kumtolea Mungu sehemu ya kile alichotubariki kwacho ili sehemu ya kile tutachotoa kikawe hazina ya pale Atapotuandalia mioyo yetu......
Kuuona mchanganuo huo wa mahitaji halisi bofya hapa chini kwa HABARI ZAIDI