KAZI YA UJENZI WA NGUZO YAANZA
Wiki inayooshia tarehe 26/06/2011 matoleo ya watu wa Mungu yamewezesha kumwaga zege katika beams kama inavyoonekana hapa chini:
Kabla ya zege kumiminwa katika bimu kazi ya kusuka nondo ilikamilika wiki iliyooshia tarehe 18/06/2011 kama inavoonekana katika picha hapa chini:
Watu wa Mungu....Mbarikiwe saana mnapoendelea kujitoa kwa hali na mali kumjengea BWANA hekalu takatifu...wiki inayoishia tarehe 18/06/2011 Mungu amewezesha kupitia matoleo yako kazi uionayo hapo juu...Mungu akubariki anapopanga kuendelea kutoa kwa ajili ya kuwezesha usukwaji zaidi wa nondo hizo juma hili....kwa picha na habari zaidi bofya hapa chini....